Nigeria hakikisha kila mwenye haki anapiga kura:Ban




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Kufuatia uamuzi wa Tume ya uchaguzi nchini Nigeria kuahirisha uchaguzi mkuu, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amekisihi chombo hicho kuchukua hatua zote za lazima kuhakikisha watu wote wenye haki ya kupiga kura wanafanya hivyo. Ban amesema hayo katika taarifa iliyotolewa na msemaji wake ikieleza kutambua kwake kuahirishwa kwa uchaguzi huo uliokuwa ufanyike [...]