Mazungumzo ya Yemen Jumatatu, Ban apongeza




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amekaribisha tangazo lililotolewa na mshauri wake maalum kuhusu Yemen, Jamal Benomar, ya kwamba Jumatatu ataitisha tena mashauriano ya kuleta maridhiano nchini humo. Taarifa ya msemaji wa Umoja wa Mataifa imemkariri Ban akipongeza vyama vyote vya siasa na majimbo nchini humo kuwajibika kama viongozi wa nchi hiyo ili [...]