Mapambano dhidi ya ukeketaji yanahitaji mshikamano: Ban




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki-moon amesema inawezekana kukomesha ukeketaji ikiwa jamii nzima itahamasishwa  katika mapambano hayo ambapo kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF zaidi ya wanawake milioni 100 kote duniani huathiriwa. Taarifa kamili na Grace Kaneiya. (TAARIFA GRACE) Katika ujumbe wake kwa njia ya video Ban [...]