Summary: Shirika la Kuhudumia Watoto katika Umoja wa Mataifa, UNICEF, limesema kuwa watoto wapatao 16,600 wamesajiliwa kuwa waliopoteza wazazi au walezi wao kutokana na ugonjwa wa Ebola nchini Guinea, Liberia na Sierra Leone.Hata hivyo, UNICEF imesema wengi wa watoto hao wamechukuliwa na jamaa zao, ikisifu ukarimu na uhusiano thabiti wa kijamii. Andrew Brooks ni Mkurugenzi wa [...]