Waigizaji kutoka Uchina wakumbusha historia ya uhusiano wa biashara




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Mwezi huu wa Februari, Uchina ndiyo inayoshikilia kiti cha Urais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Balozi wake Jieyi Liu akiwa na wajibu wa kuongoza vikao vya Baraza hilo. Kama sehemu ya kusherehekea wajibu huo, Ubalozi wa Uchina umeandaa maonyesho ya ngoma na mchezo wa kuigiza, ambao umekumbusha historia ya uhusiano wa kibiashara [...]