IMF yakwamua ulipaji madeni kwa nchi zilizokumbwa na Ebola




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Shirika la fedha duniani IMF limetoa jumla ya dola Milioni 100 kwa nchi tatu za Afrika Magharibi zilizoathiriwa zaidi na Ebola ili kusaidia ulipaji wa madeni yake. Sean Nolan, Naibu Mkurugenzi wa mkakati na sera IMF amesema nchi hizo ni Guinea, Liberia na Sierra Leone na lengo ni kupunguza athari za mzigo wa ulipaji madeni [...]