Maadhimisho ya kimataifa ya kupinga ukeketaji




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Tarehe Sita mwezi Februari kila mwaka ni siku ya kimataifa ya kupinga ukeketaji wa watoto wa kike na wanawake. Maadhimisho ya mwaka huu yanajikita katika  kukomesha kitendo hicho kinachofanywa siyo tu na mangariba bali pia wahudumu wa afya wakiwamo wauguzi na madaktari. Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, takribani  [...]