Tatizo la chakula lazidi Sudan Kusini:FAO




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Shirika la Chakula na Kilimo FAO limeonya ijumaa hii kuhusu kuzorota kwa hali ya usalama wa chakula nchini Sudan Kusini, huku watu milioni 2.5, sawa na asilimia 20 ya raia wote nchini humo wakiathirika na njaa wakati mapigano yanapoendelea. Mwaka uliopita wakati ghasia ilipoibuka, idadi hiyo ilikuwa ni watu milioni moja tu. Sababu kubwa ya [...]