Mbinu endelevu ya wadau mbalimbali unahitajika ili kukuza utali wa kitamaduni




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Mkutano wa utalii wa kitamaduni uliowaleta zaidi ya washiriki 900, ikiwa ni pamoja na zaidi ya mawaziri na makamu wa mawaziri 45 wa Utalii na Utamaduni, wataalamu wa kimataifa, wasemaji kutoka nchi 100, uliondaliwa na  Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO na lile la utalii duniani, UNWTO uliofanyika Siem Reap [...]