Mtaalam wa UM aitaka Ulaya iruhusu wahamiaji kuingia kwa njia halali




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Muungano wa mataifa ya Ulaya, EU, ni lazima uwekeze katika uhamiaji ili wahamiaji waweze kuingia kwa njia halali na urejeshe udhibiti wa mipaka yake, amesema Mtaalam Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za wahamiaji, François Crépeau, mwishoni mwa ziara yake rasmi kwa makao makuu ya EU, mjini Brussels, Ubeljiji. Crépeau amesema, kwa kuendelea kuwekeza [...]