Uteuzi: Mladenov kumrithi Serry Mashariki ya Kati




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amemteua Nikolai Mladenov wa Bulgaria kuwa mratibu maalum wa mchakato wa amani Mashariki ya Kati. Mladenov anachukua nafasi ya Robert Serry ambaye Bwana Ban amemshukuru kwa mchango wake akishika wadhifa huo. Kwa sasa Mladenov ni mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu huko Iraq na mkuu wa ujumbe wa [...]