Ebola bado ni tishio kubwa: Nabarro




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Ugonjwa wa Ebola bado ni tishio kubwa, wameonya watalaam wa Umoja wa Mataifa wakisema mazishi yasiyozingatia kanuni za afya yamesababisha ongezeko la idadi ya maambukizi mapya. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva, Uswisi, mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ebola, David Nabarro, amesema licha ya mafanikio yaliyopatikana, maambukizi mapya yanaendelea kwa sababu watu [...]