Tunaweza kukomesha ukeketaji: Ban




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kupinga ukeketaji, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki-Moon amesema inawezekana kukomesha ukeketaji huo unaoathiri zaidi ya wanawake milioni 100 kote duniani ikiwa jamii nzima itahamasishwa kuondokana na kitendo hicho . Katika ujumbe wake kwa njia ya video Ban amesema wataalamu wa afya wana jukumu kubwa katika [...]