Mjumbe wa Umoja wa Mataifa alaani mashambulizi Gaza




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Mratibu Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu utaratibu wa amani Mashariki ya Kati, Robert Serry, ameeleza kukasirishwa sana na mashambulizi dhidi ya ofisi yake, UNSCO, yaliyotokea asubuhi ya Jumatano hii huko Ukanda wa Gaza. Tukio hilo limefanyika wakati wa maandamano ambapo watu kadhaa wameruka ukuta wa ofisi hiyo na kuanza kuharibu majengo na mali za [...]