Ban alaani shambulio nchini Libya




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki-moon amelaani vikali shambulio lililotokea katika hoteli iitwayo Corinthia mjini Tripoli mnamo Januari 27. Taarifa iliyotolewa na  msemaji wa Katibu Mkuu imesema Bwana Ban ametuma salamu za rambirambi kwa familia za waliopoteza wapendwa wao kufuatia shambulio hilo. Amesema ugaidi hauna nafasi katika Libya mpya na kwamba hautadhoofisha majadiliano [...]