UNMISS yalaani shambulio lililouwa watu 11 wakiwamo wanahabari




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary:   Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS umelaani vikali mauaji ya raia kumi na mmoja,  watano miongoni mwa wakiwa ni wanahabari ambao walishambuliwa barabarani wakati wakiwa wanasafiri kuelekea Raja jimboni Bahr El Ghazal Magharibi  Kwa mujibu wa taarifa ya UNMISS watu wasiofahamika na amboa walijihami kwa silaha walifyatua risasi katika msafara huo [...]