Zeid alaani mauaji ya watu 20 Misri




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary:   Kamishna Mkuu wa haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa Zeid Ra'ad Al Hussein ameelezea kusikitishwa kwake na vifo vya watu 20 wakati wa mapambano kati ya waandamanaji na vikosi vya usalama nchini Misri ijumaa. Akiongea mjini Geneva Kamishna Zeid ameitaka mamlaka za Misri kuchukua hatua za dharura kukomesha matumizi ya nguvu za ziada [...]