Waasi Sudan Kusini waanza kuachilia huru watoto wanaowatumikisha: UNICEF




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF na wadau wake wamefanikisha mpango wa kuachiliwa huru kwa watoto wapatao 3,000 wanaotumikishwa na vikundi vilivyojihami nchini Sudan Kusini, ikieleza kuwa hiyo ni idadi kubwa zaidi kuwahi kufikia hatua hiyo. Taarifa zaidi na Grace Kaneiya. (Taarifa ya Grace) UNICEF inasema tayari kundi la kwanza la watoto [...]