Safari ya kujenga kustahimiliana bado ni ndefu: Ban




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Ghasia na upendeleo unaodhihirika kila siku vinakumbusha dunia kuwa safari ya kusimamia haki, kuepusha mauaji ya kimbari na kutetea utu wa binadamu bado ni ndefu. Ni ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon aliotoa leo ikiwa ni miaka 70 tangu majeshi ya washirika yakomboea kambi ya mateso ya Auschwitz Birkenau, ambayo utawala [...]