UNICEF na kampeni kuhusu haki za watoto




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary:       Nchini Tanzania, serikali imejikuwa inajitahidi kuendeleza hali ya haki za watoto. Mafanikio hayo yamepongezwa katika mkutano wa 68 wa kamati ya haki za watoto unaoendelea mjini Geneva, Uswisi. Hata hivo, changamoto nyingi bado zipo, ikiwemo ndoa na mimba za utotoni. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF pamoja na Mtandao wa Wanahabari [...]