Tujenge mifumo endelevu ya kudhibiti changamoto: Ban




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Baraza la masuala ya kiuchumi na kijamii la Umoja wa Mataifa, ECOSOC leo limekuwa na kikao maalum kuhusu tishio la Ebola kwenye maendeleo endelevu ambapo Katibu Mkuu Ban Ki-moon amesema ni lazima kuweka mifumo thabiti ya afya ya kuweza kukabiliana na changamoto hata za magonjwa. Taarifa zaidi na Amina Hassan. (Taarifa ya Amina) Hadi sasa [...]