DRC yachukua hatua kuwakomboa watu wenye ulemavu




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Wakati mkutano kuhusu watu wenye ulemavu ukifanyika kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifam, New York, imeelezwa kuwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo DRC  wanawake wanateseka kutokana na mgogoro wa siku nyingi ambao umesababisha ulemavu kwa waume zao. Hali hiyo tete imewalazimu wanawake hao waendelee kukimu  familia zao sambamba na kubeba jukumu la kuwahudumia [...]