Kampeni ya kurejesha watoto shule yavuna 300,000 CAR, juhudi zaendelea: UNICEF




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Juhudi zinaendelea kuhakikisha maelfu ya watoto wanarejeshwa shuleni katika nchi yenye mgogoro Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR huku hali ya sintofahamu kuhusu usalama wa nchi ikiendelea. Kampeni hiyo inaratibiwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF ambalo linasema tayari limeshuhudia watoto 300,000 wakirejea shuleni. Watoto ambao wanaorejea shuleni hupatiwa kasha lenye [...]