Tujitolee kwa maendeleo yetu na ya nchi :Vijana




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Tarehe 5 Mwezi Disemba kila mwaka ni siku ya kimataifa ya kujitolea siku ambayo hutumiwa na jumuiya ya kimataifa kuhamasisha kujitolea kwa maendeleo ya jamii. Kauli mbiu ya madhimisho ya mwaka huu ni sababisha mabadiliko jitolee.Wakati siku hii ikiadhimishwa utamaduni bado ni jambo geni katika nchi zinazoendelea. Joseph Msami amefanya mahojiano na baadhi ya watu [...]