Balozi Kamau azungumzia uamuzi wa ICC kuhusu Kenyatta




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Siku ya Ijumaa tarehe Tano Disemba mwaka 2014, mahakama ya kimataifa ya uhalifu, ICC huko The Hague, Uholanzi ilitupilia mbali mashtaka dhidi ya Uhuru Kenyatta. Mwendesha Mashtaka Mkuu Fatou Bensouda alieleza kuwa uamuzi huo unazingatia kuwa hawana ushahidi wa kutosha wa kuweza kuthibisha pasipo shaka mashtaka matano yaliyokuwa yanamkabili Kenyatta. Kufuatia uamuzi huo, Joseph Msami [...]