Utu na watu viwe msingi wa malengo endelevu:Ban




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary:   Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon leo amelihutubia Baraza Kuu kuhusu ripoti yake inayotoa mwelekeo wa mchakato wa mjadala wa malengo ya maendeleo endelevu baada ya mwaka 2015. Ban amesema katika mchakato wa ripoti hiyo imebainika kuwa licha ya maendeleo kupatikana katika baadhi ya maeneo bado umasikini na ukosefu wa usawa ni [...]