Maeneo ya urithi wa utamaduni Syria na Iraq yalindwe:UNESCO




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Wakati mzozo ukiendelea huko Iraq na Syrai, Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO Irina Bokova ametaka maeneo ya urithi wa utamaduni kwenye nchi hizo yawekewe aina maalum ya kuyalinda. Akifungua mkutano wa kimataifa kuhusu vitisho dhidi ya urithi wa tamaduni na utofauti huko Paris, Ufaransa, Bokova ametaka [...]