Ban azungumzia uamuzi wa mahakama New York




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametaka mamlaka zote nchini Marekani kuchukua hatua zipasazo ili kushughulikia madai ya uwajibikaji zaidi miongoni mwa maafisa wanaosimamia sheria. Msemaji wa Umoja wa Mataifa Stephane Dujarric  amewaambia waandishi wa habari kuwa wanafahamu kinachoendelea jijini New York, Marekani  kufuatia uamuzi wa Jumatano wa mahakama kutomfungulia mashtaka polisi anayedaiwa [...]