Cristina Gallach kuongoza idara ya mawasiliano ya umma ya UM




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amemteua Cristina Gallach wa Hispania kuwa msaidizi wake kwa masuala ya habari na mawasiliano kwa umma. Bi. Gallach anachukua nafasi iliyoachwa na Peter Launsky-Tieffenthal wa Austria aliyemaliza muda wake ambapo Ban amemshukuru kwa mchango wake wakati akiongoza idara hiyo. Taarifa ya msemaji wa Umoja wa Mataifa imesema [...]