Shule ya Al Bassir Somalia ni kielelezo cha manufaa ya teknolojia kwa wasioona




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Leo ni siku ya kimataifa ya watu wanaoishi na ulemavu ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amesema ujumbe wa mwaka huu unaolenga maendeleo endelevu na ahadi ya teknolojia kuimarisha ustawi wa kundi hilo umekuja wakati muafaka. Taarifa kamili na Assumpta Massoi. (Taarifa ya Assumpta) Ban amesema teknolojia imebadilisha ulimwengu kwa kupanua wigo [...]