Kesi dhidi ya Kenyatta, upande wa mashtaka wapewa wiki moja:ICC




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Mahakama ya kimataifa ya uhalifu, ICC leo imekataa maombi ya upande wa mashtaka na ule wa utetezi kuhusu hatma ya kesi dhidi ya Uhuru Kenyatta. Katika maombi yao, upande wa mashtaka ulitaka kesi hiyo iahirishwe huku ule wa utetezi ukitaka kesi hiyo itupiliwe mbali. Badala yake jopo la majaji limetaka upande wa mashtaka uwe umetoa [...]