Barafu kwenye ncha ya kaskazini hatarini kutoweka: WMO




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Shirika la  hali ya hewa duniani, WMO limetoa ripoti yake ya mwaka inayosema iwapo kiwango cha joto duniani hakitapungua, barafu katika eneo la ncha ya kaskazini mwa dunia itatoweka. Mkurugenzi Mkuu wa WMO Michel Jarraud amesema onyo hilo linatokana na tafiti zinazoonyesha mwelekeo wa ongezeko la kiwango cha joto duniani ambapo mwaka huu taarifa za [...]