Aina mpya za utumwa ni janga kwa mamilioni duniani:ILO




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Ikiwa leo ni siku ya kumbukizi ya kumalizika kwa biashara ya utumwa ya kupitia bahari ya Atlantiki, Shirika la kazi duniani, ILO limetaka kasi zaidi iongezwe kuhakikisha aina mpya za utumwa ikiwemo utumikishaji kwenye ajira vinatokomezwa ifikapo mwishoni mwa karne hii.ILO imesema licha ya mafanikio kwenye harakati za kuondokana na vitendo hivyo, bado kazi ni [...]