WFP kupeleka msaada zaidi wa chakula Sudan Kusini: UM




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula WFP linatarajia kupeleka zaidi ya tani 400 ikiwa ni ziada ya chakula cha msaada wa chakula kwa kutumia basi Sudani Kusini. Akiongea na waandishi wa habari mjini New York msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Stephanie Dujarric amesema msaada huo utatoka jimbo la White [...]