Mzozo Yerusalem Magharibi, Ban azungumza na viongozi wa Israel na Palestina




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amekuwa na mazungumzo kwa njia ya simu kwa nyakati tofauti na Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu, na Kiongozi wa Palestina Mahmoud Abbas kufuatia shambulio la hivi karibuni huko Yerusalem Magharibi. Taarifa ya msemaji wa Umoja wa Mataifa imesema katika mazungumzo hayo Ban ameeleza kushtushwa kwake na [...]