Mwezi wa Oktoba 2014 ulivunja rekodi ya joto- WMO




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Viwango wastani vya joto duniani mwezi Oktoba mwaka huu, vilikuwa juu zaidi na kuweka rekodi mpya tangu nyaraka za viwango vya joto duniani zilipoanza kuwekwa mnamo mwaka 1880, limesema shirika la masuala ya hali ya hewa, WMO. WMO imesema, viwango vya joto baharini na nchi kavu vilikuwa juu zaidi kwa wastani, vikichukuliwa kwa ujumla kwa [...]