FAO yazindua tovuti mpya ya miongozo kuhusu mlo




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Shirika la Kilimo na Chakula, FAO limezindua tovuti mpya ya miongozo kuhusu mlo, ambayo itakuwa kama jukwaa la kubadilishana taarifa kuhusu mienendo bora ya lishe kote duniani. Tayari, tovuti hiyo imeanza kukusanya miongozo ya lishe kutoka zaidi ya nchi 100, na itaendelea kuongezewa maelezo pale miongozo mipya inapoandaliwa na kusahihishwa. Miongozo kuhusu mlo katika chakula [...]