ICN2 yatamaishwa, Sierra Leone yazungumzia mahitaji muhimu dhidi ya Ebola




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Mkutano wa pili wa kimataifa wa lishe umefunga pazia huko Roma, Italia ambapo mkurugenzi mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani, FAO Jose Graziano da Silva amesema mkutano huo umefungua njia kwa nchi kukubaliana ajenda za kutokomeza njaa na utapiamlo. Bwana da Silva amesema anaamini muongo ujao unatakiwa utambuliwe kama muongo wa maendeleo, na [...]