Ahadi zilizotolewa kwa GCF ni ishara njema kwa mabadiliko ya tabianchi:Ban




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amekaribisha ahadi za serikali za kutoa dola Bilioni Tisa nukta Tatu kama mtaji wa mfumo wa miradi endelevu isiyoharibu mazingira, GCF. Ahadi hizo zimetolewa wakati wa mkutano wa ahadi uliofanyika huko Berlin, Ujerumani. Ban amekaririwa na msemaji wake akieleza kuwa ahadi hizo ni kiashiria kuwa serikali zinazidi [...]