Mijadala ni muhimu katika kufikia filosofia ya kweli: UNESCO




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya filosofia Mkuu wa shirika la Umoja wa Matiafa la sayansi, elimu na utamaduni UNESCO Irina Bukova amesema hakuna filosofia ya kweli bila majadiliano. Katika taarifa yake ya kuadhimisha siku hii Bi Bokova amesema  katika dunia ya utandawazi, majadiliano lazima yafungamane na viwango tofauti vya hekima ambazo zimeshawishi watu [...]