IAEA yasimama kidete kusaidia Afrika dhidi ya Ebola




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la nishati ya atomiki, IAEA Yukiya Amano amezungumzia hatua ambazo shirika lake limefikia katika kusaidia harakati dhidi ya Ebola kwenye nchi zilizokumbwa na mlipuko barani Afrika. Akitoa ripoti yake wakati wa kikao cha siku mbili cha bodi ya magavana wa shirika hilo kilichoanza Alhamisi huko Vienna, Austria [...]