IAEA yakamilisha ziara ya ukaguzi Zimbabwe




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Maofisa waandamizi ambao ni wataalamu masuala ya nyuklia na uzuiaji wa mionzi leo wamekamilisha ziara ya siku kumi nchini Zimbabwe iliyokuwa na lengo la kukagua namna nchi hiyo inavyozingatia mwongozo uliotolewa na Shirika la Nguvu la Atomiki la Umoja wa Mataifa IAEA kwa nchi kuzingatia usalama wa mionzi na masuala mengine. Taarifa kamili na George [...]