Kongamano kuhusu lishe laanza Roma




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Kongamano lililoandaliwa na Shirika la Chakula Duniani FAO limeanza leo huku likitilia uzito juu ya uwepo wa lishe bora kwa maelezo kuwa ndiyo ufunguo sahihi wa maisha bora. Kongamano hilo ambalo ni la pili linalofanyika katika makao makuu ya FAO Roma na linawaleta pamoja wajumbe kutoka sehemu mbalimbali duniani watakaojadiliana kuhusu umuhimu wa lishe kwa [...]