Kuna sababu lukuki za kupigia chapuo siku ya choo duniani: Eliasson




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Kuna sababu za kiuchumi, na kijamii kujadili umuhimu wa usafi na maji katika kuadhimisha siku ya choo duniani amesema naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Jan Eliasson. Akiongea na waandishi wa habari mjini New York Bwana Eliasson amesema ikiwa maji na usafi utazingatiwa huongeza uzalishaji na kukuza uchumi wa jamii husika. Naibu Katibu Mkuu [...]