Wanawake wabunge Tanzania ni wachapakazi: Anne Makinda




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Wakati kikao cha maandalizi ya mkutano wa maspika wa bunge kikimalizika mjini New York, spika wa bunge kutoka Tanzania Anne Makinda amesema wabunge wanawake nchini humo wamefanya kazi kubwa katika kuleta mabadiliko juu ya mtizamo wa watu kuhusu wanawake kwenye jamii. Katika mahojiano maalum na Joseph Msami wa idhaa ya Kiswahili ya radio ya Umoja [...]