Harakati dhidi ya ugaidi, Kenya yatangaza hatua ilizochukua:Balozi Muli




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Naibu Mwakilishi wa kudumu wa Kenya kwenye Umoja wa Mataifa Balozi  Koki Muli Grignon amesema uanzishwaji wa miradi yenye lengo la kutokomeza umaskini ni mojawapo ya hatua za serikali za kukabiliana na vita dhidi ya ugaidi na misimamo mikali. Akihutubia Baraza hilo wakati wa mjadala wa ngazi ya juu wa wazi kuhusu ugaidi, wapiganaji mamluki [...]