Ban alaani shambulizi la leo dhidi ya hekalu Jerusalem




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon, amelaani vikali shambulizi la leo Jumanne Novemba 18 dhidi ya hekalu Jerusalem Magharibi, ambalo limewaua watu wanne na kuwajeruhi wengine kadhaa. Katibu Mkuu ametuma rambi rambi zake kwa familia za wanhanga, na kuwatakia majeruhi nafuu haraka. Katika taarifa iliyotolewa na msemaji wake, Katibu Mkuu amesema, mbali na [...]