ISIL imekiuka Shari'ah, imekiuka sheria ya vita na kutenda uhalifu dhidi ya ubinadamu- Kamishna Zeid




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu, Zeid Ra'ad Al Hussein, ameliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo kwamba, kundi linalotaka kuweka dola la Kiislamu lenye msimamo mkali, ISIL limetenda uhalifu uliokithiri nchini Iraq na kukiuka, siyo tu Shari'ah ya Uislamu, bali pia limekiuka sheria ya kimataifa, ikiwemo sheria ya kivita. Kamishna Zeid amesema [...]