Vituo vya kutibu Ebola Sierra Leone vinazingatia viwango:UNICEF




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Harakati za kukabiliana na ugonjwa wa Ebola zinaendelea kila uchao wakati huu ambapo idadi ya waliofariki dunia kutokana na ugonjwa huo ikiwa imefikia 5,177 kati ya wagonjwa 14,413 waliothibitishwa. Miongoni mwa nchi zilizokumbwa zaidi ni Sierra Leone ambapo tangu ugonjwa ubishe hodi mwezi Mei mwaka huu zaidi ya watu Elfu Moja wamefariki dunia. Hatua zinachukuliwa [...]