WHO yatangaza vifaa vya vipimo rahisi vya kutambua kirusi cha Ebola




Idhaa ya Redio ya UM show

Summary: Madaktari wa Umoja wa Mataifa wamesema vifaa ambavyo ni rahisi kuvitumia katika kuchunguza kisa cha mwisho cha ugonjwa wa Ebola vimo mbioni kuundwa. Tangazo hilo ni hatua nyingine katika juhudi za Shirika la Afya Duniani, WHO za kutokomoza ugonjwa huo hatari ambao umetanda huko Afrika Magharibi. Kufikia sasa, jitihada za kuukabili ugonjwa huo nchini Guinea, [...]